Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
PoleNdio nawaonea aibu walinzi wenzangu.
PoleNdio nawaonea aibu walinzi wenzangu.
Vizuri,nawapenda watu waelewa kama nyinyi.....Ndio maana nikacheka
Gomba ndio nini tena?
Miraa au Mirungi..... Kilevi hiki kibaya sana,huwa kinasababisha upungufu wa kiume pia na midomo kulegea.Gomba ndio nini tena?
Sawa basiyale majani mabich hutosinzia kamwe
Naonaga wasomali wanayatafuna sana.Miraa au Mirungi..... Kilevi hiki kibaya sana,huwa kinasababisha upungufu wa kiume pia na midomo kulegea.
Kule kujitafutia matatizo mpaka wabantu wanatafuna sanaaa,kuna wengine mpaka wanapata fangasi za mdomoni.Naonaga wasomali wanayatafuna sana.
Muda bado kaka mkubwa.Haya waislam swalah swalah huko
Kule kujitafutia matatizo mpaka wabantu wanatafuna sanaaa,kuna wengine mpaka wanapata fangasi za mdomoni.



yah majani pendwa hayoNaonaga wasomali wanayatafuna sana.
Na wewe je?Haya waislam swalah swalah huko
Adhana ya kwanza naiskia hapaMuda bado kaka mkubwa.
Kaka kalale nataka nimpige sound mtoto mzuri huyu bi-bade.yah majani pendwa hayo
Mimi sio Mtoto Mzuri.Kaka kalale nataka nimpige sound mtoto mzuri huyu bi-bade.
Bado lisaa lizima mbele huko.....Fanya kunipisha basi bro,nimalizane na mtoto mzuri huyu......Adhana ya kwanza naiskia hapa
ha ha ha nenda pm yasije yakatokea ya ngoswe lindo likabaki jeupeKaka kalale nataka nimpige sound mtoto mzuri huyu bi-bade.
Sawa,nataka nikupige sound bbade.....!Mimi sio Mtoto Mzuri.
Sema tu bbade
Mtajua wenyewe lindo likibakia wazi,kwanza muda unaelekea kuisha hata kama tukichoma lindo,tunakuja kuwaomba msamaha......ha ha ha nenda pm yasije yakatokea ya ngoswe lindo likabaki jeupe
Haya Tuzisikie hizo sautiSawa,nataka nikupige sound bbade.....!