Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,405
Wee...mkuu hapo lazima mpate A+Nimeleta dem geto.... Akaenda kwa mlango.. Nikadhani anataka kuondoka.. Kumbe anaangalia kama mlango umefungwa vizuri. Halafu tukaanza kusoma na kudiscuss. Kumbe hapendi kusumbuliwa na kelele tukisoma.
![]()







