mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Hahah niko 2nd seat.Kuandika 1stcomment kumenifanya niikose jf masaa 18
Hahah niko 2nd seat.Kuandika 1stcomment kumenifanya niikose jf masaa 18
Jiandae kula rungu la kichwaHahah niko 2nd seat.
Hahah wengi hua wanatoka kwny umeja jeneral wanarudi kupiga kwata kidogo then wanastaafu tena(on&off zinakua nyingiiiiiiii).
Hahah ndio ujiandae kua na back up id(kwa mujibu wa wataalam wa jf).Jiandae kula rungu la kichwa
we dogo vipiKuandika 1stcomment kumenifanya niikose jf masaa 18
Daaah siwez changia kwa id nyingine hua nauchuna tu hadi nikifunguliwaHahah ndio ujiandae kua na back up id(kwa mujibu wa wataalam wa jf).
Safi kwema wee dogowe dogo vipi
Barida kaka jukwaa gani hilo walikuamshia modsSafi kwema wee dogo
Kuna jamaa alikua anauliza kitu ndo nikasema ivo. Ilikua juzi jana ndio wakanitandika banBarida kaka jukwaa gani hilo walikuamshia mods
nazielewa Ila nipo kwenye classic bus yakijanja
best mambo vipKwanini?
Mambo Poabest mambo vip
zakuuchuna?Mambo Poa
Wapi tena.....zakuuchuna?
Jana nilikuuliza ukapotea kiaina..Ila haina tatizoWapi tena.....
Kweli??? Niliaga lakini....Jana nilikuuliza ukapotea kiaina..Ila haina tatizo
hapo sawa karibu chaiKweli??? Niliaga lakini....