Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Unaniacha tena?Watu leo mmegoma ngoja nami nilalee
Unaniacha tena?Watu leo mmegoma ngoja nami nilalee
Asante Nelly
Ngoja nijitahidi
Leo siwez cheza faulo tena mpenzi anguUnaniacha tena?
SawaaaaNa wewe ukishaunganishwa uniunge
Safi tu..Mambo poa...za kwako?
Hapo sawaLeo siwez cheza faulo tena mpenzi angu
Niambie kitu dearHapo sawa
Nimekuwa mvivu wa Lindo....hapa najitahidi nisilale nisije pitiliza kituoSafi tu..
01:00AM
currently online 606

Chochote?Niambie kitu dear
Jamani pole ila leo vumilia kidogo lindo limepoa kama niniNimekuwa mvivu wa Lindo....hapa najitahidi nisilale nisije pitiliza kituo
NdioChochote?
Na hivi hakuna Kazi Leo...sijui wamekimbilia wapi.?Jamani pole ila leo vumilia kidogo lindo limepoa kama nini
Kanigaya ni nini?Kuna mtu kanigaya
Kumchunia/kumnunia mtuKanigaya ni nini?