Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Ndio naomba umnipe yule mtakatifu wako basi

Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu, kwa leo sina nguvu. Labda mtumishi mwenzangu Nleterewa Nganengo aje anisaidie
Nini sasa mbona mapovu?
Amkaaa
Nasub
Ndio nategemea akishafanikiwa aniunge na mimi
kumbe rafiki u mchokozi?Uyo sina habar nae popote utakapomkuta mzombe tuNdio naomba umnipe yule mtakatifu wako basi![]()
Utakuwa unaisaidia misikule ya mumeo kulima
chombezo tu dada, si wajua avatar yake ni chokozi?![]()
![]()
kumbe rafiki u mchokozi?
huyo wa kusombwa tu na mimi simtaki tena nimeghairi
haya