mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,134
Hahah majukumu mkuu.Umesaliti lindo
Hahah majukumu mkuu.Umesaliti lindo
uko peke yako?Wadau niombeeni shetani ananingongea mlango.. Anasema amenipitia twendwe mahali [emoji134] Nimejikausha muda mrefu sana ina naona kama nakaribia kumfungulia[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ndio....yaani naogopa, nimeshavaa hapa roho na mwili vinavutana, mwili unasema nifungue tu niende ila roho inanikataza kwa sauti ya upole[emoji134] Sijui nifanyeje?[emoji848]
dawa yako ninayo hakika nicheki utaponaNdio....yaani naogopa, nimeshavaa hapa roho na mwili vinavutana, mwili unasema nifungue tu niende ila roho inanikataza kwa sauti ya upole[emoji134] Sijui nifanyeje?[emoji848]
Mmh! Mi sitaki dawa maana siumwi, nachotaka ni ushauri tu[emoji53]
Vua hizo nguo ulizovaa kwa mtoko,vaa pajama panda kitandani zima simu ulaleMmh! Mi sitaki dawa maana siumwi, nachotaka ni ushauri tu[emoji53]
nakushauri usome biblia zab 35:1-15 kama wewe ni MkristoMmh! Mi sitaki dawa maana siumwi, nachotaka ni ushauri tu[emoji53]
Ngoja nijaribu nione kama mwili utakubali, maana naona umeshadhamiria[emoji41]Vua hizo nguo ulizovaa kwa mtoko,vaa pajama panda kitandani zima simu ulale
[emoji54]Wadau niombeeni shetani ananingongea mlango.. Anasema amenipitia twendwe mahali [emoji134] Nimejikausha muda mrefu sana ina naona kama nakaribia kumfungulia[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Bwana achana na hilo kaburi[emoji85][emoji85]Thad
Upweke mbaya, natafuta marafiki - JamiiForums
nipe nafasi usahau shida za dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Luca nishauri tafadhali
hiyo sauti ya upole inayokukataza isikilize sana, vinginevyo utajutaNdio....yaani naogopa, nimeshavaa hapa roho na mwili vinavutana, mwili unasema nifungue tu niende ila roho inanikataza kwa sauti ya upole[emoji134] Sijui nifanyeje?[emoji848]
Nishakutafuta mbona. Ushauri wangu ntakupea hukoLuca nishauri tafadhali
napenda kujua chanzo cha tatizo, huwa sikurupukiBwana achana na hilo kaburi[emoji85][emoji85]
Duh! Mbona kama inakaribia kushindwa na sauti ya ushawishi ya mwili?hiyo sauti ya upole inayokukataza isikilize sana, vinginevyo utajuta
Sent using Jamii Forums mobile app
usifanye mambo kiajali ajali rafiki yangu waweza jutaDuh! Mbona kama inakaribia kushindwa na sauti ya ushawishi ya mwili?
Ngoja nijitahidi[emoji17]