Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu, kwa leo sina nguvu. Labda mtumishi mwenzangu Nleterewa Nganengo aje anisaidie
Amina!
Ngoja nisome. Asante kwa kushare nami neno la Mungu
kitendo cha ku share hapa tayari ni ushindi kwako rafiki, halafu ntakesha nawe hapa hadi ulaleNgoja nisome. Asante kwa kushare nami neno la Mungu
Asante kwa kujitolea kwaajili yangu. Hakika u rafiki mwemakitendo cha ku share hapa tayari ni ushindi kwako rafiki, halafu ntakesha nawe hapa hadi ulale
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu mtu wa MunguAsante kwa kujitolea kwaajili yangu. Hakika u rafiki mwema
Tunajua mamy, ila nina shida nimekuja kuomba msaada wa ushauri au unataka nipotee Inna?

Una matatizo gani?Asante kwa kujitolea kwaajili yangu. Hakika u rafiki mwema
Shetani anataka kunipitia

Upotee wap tena kipenziTunajua mamy, ila nina shida nimekuja kuomba msaada wa ushauri au unataka nipotee Inna?![]()