Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
2:33am niko room ila naskia harufu ya mahanjumat ya Eid tu hapa hata usingizi haupandi wacha nisubirie Alfajiri tu ifike.
Sent using Jamii Forums mobile app




Sent using Jamii Forums mobile app
2:33am niko room ila naskia harufu ya mahanjumat ya Eid tu hapa hata usingizi haupandi wacha nisubirie Alfajiri tu ifike.
Sent using Jamii Forums mobile app




Mkuu au ushavuta cha chuga ?2:33am niko room ila naskia harufu ya mahanjumat ya Eid tu hapa hata usingizi haupandi wacha nisubirie Alfajiri tu ifike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu starehe duniani ni tatu Kula,usingizi na mapambo yetu(wanawake).
Wageni hutaki kijana ,HahahaNatoa huduma ya kukuliwaza bure kabisa ila kama ni mtanzania tu
Nitautafuta
Hakika mkuuMkuu starehe duniani ni tatu Kula,usingizi na mapambo yetu(wanawake).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vyote vina noga zaidi account ikiwa ina soma $ au TZS kadhaaMkuu starehe duniani ni tatu Kula,usingizi na mapambo yetu(wanawake).
Sent using Jamii Forums mobile app