Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Nretelewa alikua anakuulizia
Aisee, tatizo mimi ni mkusanya ushahidi mzuri tu lakini kusimama kuuwasilisha ndo shughuli.Bora nimepata shahidi namba moja.
[emoji477]Bora hachelewi kukimbia
Niongezee yangu imeisha
[emoji23] [emoji23]Nretelewa alikua anakuulizia
Umenisahau Mimi!! Bila [emoji477]hii ishu itaishia njiani wallahBora nimepata shahidi namba moja.
Pole bro,,, ndio uanaume huoNaam nili take a risk na nilitukanwa sana humu jamvini.
Sitaki [emoji17] sipendi kuogeleaNitakufunza kuogelea kama utanipa funnguo wa moyo wako kila wikndi tutakua tunaenda bichi kuogelea
Yamekuwa hayo tena!!!!Aisee, tatizo mimi ni mkusanya ushahidi mzuri tu lakini kusimama kuuwasilisha ndo shughuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ni leo
Natakua nakutengenezea ugali na samaki wabichi toka ziwa tanganyikaSitaki [emoji17] sipendi kuogelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah kweli asantee bila wewe sijui kama tungekuwepo bado endelea kutupa hivyo vitu
Shukrani mkuu!! Wewe upande wa picha najua umesimama imara [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajakusahau wewe uko upande wa shahidi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kweli??? Utafanya hivyo siku zote?Natakua nakutengenezea ugali na samaki wabichi toka ziwa tanganyika
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajakusahau wewe uko upande wa shahidi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka nishangae mkuu,, kwa juhudi zote hizi,, [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Dah kweli asantee bila wewe sijui kama tungekuwepo bado endelea kutupa hivyo vitu
Swadakta mkuu, hapa nachukua na video kabisa ikiambatana na alama za vidole.Shukrani mkuu!! Wewe upande wa picha najua umesimama imara [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app