Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Mbona kama nimekulazimisha umesema juu juuNDUGU WANA LINDO
Kwanzia leo Astelia ni mpenzi wanguu mimi Davinci
Kabsa mkuuAsante, ila inabidi tufanye mpango tupate na kashata. Tuchangamshe midomo
NDUGU WANA LINDO
Kwanzia leo Astelia ni mpenzi wanguu mimi Davinci
Kwa herufi kubwa mkuu!! Kwa msisitzo zaidiNDUGU WANA LINDO
Kwanzia leo Astelia ni mpenzi wanguu mimi Davinci
Hapo umeniweza asante sana
Hahaaa hata nikiweka akiamua kuchepuka atachepuka
@Da'vinci usiwe na huruma basi usije ukanigawa kwa mtu mwingine
Unanionea sasa mpenziMbona kama nimekulazimisha umesema juu juu
Wajua nikupendavyo siwez ruhusu intruder yoyote@Da'vinci usiwe na huruma basi usije ukanigawa kwa mtu mwingine
Poa
Mimi mgeni niwaulize nyie... Halafu asikusikie unauliza hivyo, asije kukupunguzia marks bure za mtihaniAkatafutwe haraka.. mwalimu wa darasa ni nani vile?
Kiu maji
Hapana nahisi hivyo mpenzi umeandika kama unakimbizwaUnanionea sasa mpenzi
Ulisema unajali furaha ya mtu mwingine kwanzaWajua nikupendavyo siwez ruhusu intruder yoyote
Ewaa hapo sawa, kwa hali hii hata stori zinanoga. Tunafika hadi majogoo
Ila kweli asije akafanya yake kwenye marks... Mimi mwenyewe mgeni badoMimi mgeni niwaulize nyie... Halafu asikusikie unauliza hivyo, asije kukupunguzia marks bure za mtihani