Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Lakini hamjakosana kabisaKutoka mbali sio shida kama imebidi kutengana haina jinsi
[emoji23][emoji23][emoji23] aah nmekumbuka bro,, ile ni tru story lkn mm sio mhusika inamhusu mshikaji wangu Wa karbu sana,,Ww na mwanike wako
That y i feel so happy when am with you
Kho khoMmmh? [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji8] [emoji8] I don't believe you... Naniii akisikia unasema hayo sijui itakuwaje na wakati mmetoka mbali
Niaminishe unanipenda ndo nitakukabidhiKwahili niamini sasa. Nikabidhi ufunguo wa moyo wako
Hahahaha imebd nfanye hvyo asipate kigezo cha kukimbia,,, ikiisha nipo hapa,,na kahawa imejaa teleHahahaha mpe kabisa anahitaji
Nikuaminishe kwa vitu vinavyoshikika au visivyohikika?Niaminishe unanipenda ndo nitakukabidhi
Ptuuuuuu
Hapa ngoja nikae chonjo nichukue video kabisa[emoji327]Niaminishe unanipenda ndo nitakukabidhi
HUO NDIO UANAUME.[emoji23][emoji23][emoji23] aah nmekumbuka bro,, ile ni tru story lkn mm sio mhusika inamhusu mshikaji wangu Wa karbu sana,,
Sasa niliona niilete humu na mm nbebe jukumu zma km mhusika maana hata Kama ningesema ni mshkaji wangu kuna raia bado wengepinga,,
Khs kwenda bado hajaenda,, anapanga kwenda mwezi Wa kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kifua vipi [emoji23] [emoji23] [emoji6]
Hata mwenyewe sielewi nimejikuta tu nakohoaHicho kifua vipi [emoji23] [emoji23] [emoji6]
Bora hachelewi kukimbiaHahahaha imebd nfanye hvyo asipate kigezo cha kukimbia,,, ikiisha nipo hapa,,na kahawa imejaa tele
Sent using Jamii Forums mobile app