Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,442
- 110,068
Kweli. Kwa ajili ya mwanamke nimpendae nitafanya hivo ili awe na furaha..Jamani kweli??? Utafanya hivyo siku zote?
Kweli. Kwa ajili ya mwanamke nimpendae nitafanya hivo ili awe na furaha..Jamani kweli??? Utafanya hivyo siku zote?
Safi sana chief [emoji23][emoji23]!!Swadakta mkuu, hapa nachukua na video kabisa ikiambatana na alama za vidole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja japo kombe hili la pili ulilonipa imepoa bhana au ulikuwa unasinzia hadi moto umezima!Nilitaka nishangae mkuu,, kwa juhudi zote hizi,, [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekubali ila kwa sharti moja..Kweli. Kwa ajili ya mwanamke nimpendae nitafanya hivo ili awe na furaha..
Ahsante sherti lipi??Nimekubali ila kwa sharti moja..
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mm nmelistukia mkuu,,sema sikulionja kabla sijawatembezea wadau, nsameheni kwa hloTupo pamoja japo kombe hili la pili ulilonipa imepoa bhana au ulikuwa unasinzia hadi moto umezima!
Asante. Naona hili darasa lina watoro wengi, mko wachache[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu
[emoji477]Asante. Naona hili darasa lina watoro wengi, mko wachache
Usijali nitakusamehe kwa ombi moja[emoji23][emoji23][emoji23] hata mm nmelistukia mkuu,,sema sikulionja kabla sijawatembezea wadau, nsameheni kwa hlo
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie watu wote wa lindo kwamba me ni wakoAhsante sherti lipi??
Siku hizi wanatoroka mnoo sijui tufanye nini kudhibiti jambo hiliAsante. Naona hili darasa lina watoro wengi, mko wachache
[emoji477]Waambie watu wote wa lindo kwamba me ni wako
Nipe kashata kama ipo
Asante, ila inabidi tufanye mpango tupate na kashata. Tuchangamshe midomo
Ma monitor na monitress wanazembea... Tukamtafute mwalimu wa darasa aitishe uchaguziSiku hizi wanatoroka mnoo sijui tufanye nini kudhibiti jambo hili
Sio mchezo hadi inaunguza
Bora umemwambia kashata muhimuAsante, ila inabidi tufanye mpango tupate na kashata. Tuchangamshe midomo
Akatafutwe haraka.. mwalimu wa darasa ni nani vile?Ma monitor na monitress wanazembea... Tukamtafute mwalimu wa darasa aitishe uchaguzi