Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Google Chrome iko vizuri, nilikuwa natumia Opera ikawa inazingua ovyo.Tumia browser ndugu mjumbe
Nilivyojaribu hii nyingine, maisha ni marahisi sana.
Google Chrome iko vizuri, nilikuwa natumia Opera ikawa inazingua ovyo.Tumia browser ndugu mjumbe
Natumia both, huwezi amini.Tumia browser ndugu mjumbe
Ndugu mjumbe, binafsi sijawahi kutukana tangia nilipo zaliwa....[emoji5] [emoji5]Ndugu mwenyekiti nilikua sijui kama hua unatoa matusi mno
Ready to go.....Hamia browser app inazingua.
Ndugu mjumbe, naunga mkono hojaGoogle Chrome iko vizuri, nilikuwa natumia Opera ikawa inazingua ovyo.
Nilivyojaribu hii nyingine, maisha ni marahisi sana.
Nimeona kwenye uzi mmoja hiviNdugu mjumbe, binafsi sijawahi kutukana tangia nilipo zaliwa....[emoji5] [emoji5]
Za kupotea?Wooooooooiiiiiiiiiiii popozzzzzzzzz
Naomba nikuamini ndugu mjumbe, lakini Google Chrome iko poa sanaNatumia both, huwezi amini.
Woooow !!!Ready to go.....
Salama za weekend?Kwema?
asante sanaGeti limefunguliwa, 00:00.
Karibuni.
Nipoteee waaapi we unanipiga chenga tuZa kupotea?
Nzuri tu! Habari za huko ulipo?Salama za weekend?
Leo account yangu alikua anaitumia mamaenu...tehteehh [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimeona kwenye uzi mmoja hivi
endelea kuunga tu chief [emoji3]Naunga mkono hoja...[emoji30][emoji30]
Kiongozi habari za siku nyingi?asante sana
safi chief, habari..Kiongozi habari za siku nyingi?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]endelea kuunga tu chief [emoji3]
No tales pls.Woooow !!!
Tell a tale...