Tunalisongesha mkuuKweli huu usiku wa manane kila nikiamkaga usiku saa nane lazima nikutane na huu uzi
Balaa mkuu maana huu uzi kitambo sana huwa naupita tu leo sijakubali huwa naukuta usiku.Tunalisongesha mkuu
Hahaha sawa mkuu ila muone le mutuz kwa msaada wa fastaAyaaaaa hawa hawanipendi sema tumezoeana humu kwenye uzi. Nami natamani nipate mmoja kati yao..
Mkuu unawezaje kuamka n kuja humu ?Kweli huu usiku wa manane kila nikiamkaga usiku saa nane lazima nikutane na huu uzi
Mimi kuna hizi nyuzi mbili sijawahi fungua 1 .makapuku forum 2 wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet)Balaa mkuu maana huu uzi kitambo sana huwa naupita tu leo sijakubali huwa naukuta usiku.
Aisee wakati mwingine inatokea tuu Mimi uzi unaoishia na presidant nauona sana lakini sijaufungua pia kuna nyuzi nyingi sifungui bila sababu specificMimi kuna hizi nyuzi mbili sijawahi fungua 1 .makapuku forum 2 wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet)
Hahahaha mm leo nimetumbukia hapaMimi kuna hizi nyuzi mbili sijawahi fungua 1 .makapuku forum 2 wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet)
03:07 AM.03:03 AM.
Uchwara nini?
03:10AM03:07 AM.
Tunatoboa03:10AM
Only 146 Members online
03:20 AM03:10AM
Only 146 Members online
Wameongezeka03:20 AM
Currently online 176 members
Yes lakini sasa hivi as I write ni 03:30MWameongezeka
Fact mkuuYes lakini sasa hivi as I write ni 03:30M
Currently members 165 online.
Mwisho wa kipindi hiki ni maandalizi ya kipindi kijacho