Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Jikaze...kunywa maji..ulale bwana....Nyie jamani mimi mwenzenu njaa sijui diet chakula cha usiku ule saa kumi na 2 tena laini siwezi,nimejaribu leo matokeo yake hapa njaa inauma balaa actually siwezi tena kulala,navaa nguo nikatafute kiepe kwa mpemba.