Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Munchie!asante sana
Munchie!asante sana
Shiiiiiiiiit..Leo account yangu alikua anaitumia mamaenu...tehteehh [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
MmmhhhNo tales pls.
Nzuri kiongozi. Umeadimika kidogosafi chief, habari..
Yooo mind your language too....Shiiiiiiiiit..
Wee mzee wewe. Jiwedogo??
yes Monchou!Munchie!
Na hiyo ni account yetu na mamaenu pia....tehteehh [emoji13] [emoji13] [emoji13]Shiiiiiiiiit..
Wee mzee wewe. Jiwedogo??
Kwa jf sishangai unaweza kuta wewe ni kababu bombaNa hiyo ni account yetu na mamaenu pia....tehteehh [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Anafanya hivyo kwasababu anajua mimi sijui lugha ya bepari....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Yooo mind your language too....
Ooooooopppssss! Dear sorry for disYooo mind your language too....
Hujaonekana mitaa hii mda...yes Monchou!
Chukua na cha kwangu kabisa, leo niko lindo nahisi nitahitaji kula baadae.Nyie jamani mimi mwenzenu njaa sijui diet chakula cha usiku ule saa kumi na 2 tena laini siwezi,nimejaribu leo matokeo yake hapa njaa inauma balaa actually siwezi tena kulala,navaa nguo nikatafute kiepe kwa mpemba.
nipo chief, muda ulikua unabana kila kona...mambo yanaendaje lkn!Nzuri kiongozi. Umeadimika kidogo
Ndugu mjumbe, karibu sanaLeo niko lindo, nasupavaizi pia, so naombeni ushirikiano.
Halafu pm zako bado zinachunjwa au?Anafanya hivyo kwasababu anajua mimi sijui lugha ya bepari....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
No worriesOoooooopppssss! Dear sorry for dis
majukumu ya kukimbizana na muda tu...habari yako!Hujaonekana mitaa hii mda...
Minaomba uniletee stiki/toothpick tu....Nyie jamani mimi mwenzenu njaa sijui diet chakula cha usiku ule saa kumi na 2 tena laini siwezi,nimejaribu leo matokeo yake hapa njaa inauma balaa actually siwezi tena kulala,navaa nguo nikatafute kiepe kwa mpemba.