Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,565
Nadaka mwili tuHaha..bora mdakaji upo
Nadaka mwili tuHaha..bora mdakaji upo
Unamtania muhusikaAnanielewa...muhusika
Jitahidi angalau ufike hata saa tisa hiviNgoja nijitahidi
Ndio MoTTo wa maisha...kujifunza kila sikuAhaaa nakumbuka bbade
Bado nina vingi vya kujifunza
Najitahidi lakini naona kabisa kushindwa kupo mbele yangu kahawa nimekunywa hadi imenizoeaKazi ni moyo fungua moyo utashinda tu mm hapa natohoa mpaka majogoo
Sijawahi kuwa na matani naye..au una matani na Mimi?Unamtania muhusika
Nawategemea sana ninyi (member) kama walimu wanguNdio MoTTo wa maisha...kujifunza kila siku
Hapana sijawahi kukutania...Sijawahi kuwa na matani naye..au una matani na Mimi?
SidhaniJitahidi bana usilale..
Fanya ulale...tunahitaji beauty sleep...Najitahidi lakini naona kabisa kushindwa kupo mbele yangu kahawa nimekunywa hadi imenizoea
Hapa kwangu ni ZERO...chungulia kwingine....Nawategemea sana ninyi (member) kama walimu wangu
Basi kishaeleweka....Unikaribe Kwenye Uflame wakoHapana sijawahi kukutania...
Zero nayo inathamani labda ingekua dash -Hapa kwangu ni ZERO...chungulia kwingine....
Ufalme wangu bado sana sanaBasi kishaeleweka....Unikaribe Kwenye Uflame wako
Nipo nitakuliwazaSidhani
Zero nayo inathamani labda ingekua dash -

Kimya kimya na LIkEsCc
Ambiele Kiviele wewe ni mwiko kuchangia??????
Kimya kimya kama jaymoeKimya kimya na LIkEs