Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,561
Sio nyingi bana kiasi..Nilivutiwa Zaidi na kipaji chake cha kujua lugha nyingi.....
Sio nyingi bana kiasi..Nilivutiwa Zaidi na kipaji chake cha kujua lugha nyingi.....
Sasa hivi naangushaHold on gal..
tena kwa age hiyo aondoe shakaHujachelewa bado...kuwa na Subra
Hahaiwe changamoto kwako upate makazi yako yenye nafasi ya kutosha asikusumbue mtu
Subiri kidogo bado mapemaNasinzia
Ukiangusha mimi nadakaSasa hivi naangusha
Asanteeengoja nitamsaka tuongee vizuri naye
unaongea uko siriazi kama kweli vileUsinisahau kwenye Ufalme wako
Haha..bora mdakaji upoUkiangusha mimi nadaka
Tumelala kazi ya ulinzi naona inaanza kunishindaMmelala nyotee
nawe piaNiwatakie Usiku mwema....
Ngoja nijitahidiSubiri kidogo bado mapema
Hizo hizo...unakumbuka jana nilikuambia nini? Ukasema kwanini?Sio nyingi bana kiasi..
Anatania?unaongea uko siriazi kama kweli vile
Kazi ni moyo fungua moyo utashinda tu mm hapa natohoa mpaka majogooTumelala kazi ya ulinzi naona inaanza kunishinda
Ahaaa nakumbuka bbadeHizo hizo...unakumbuka jana nilikuambia nini? Ukasema kwanini?
Basi jibu unalo.
Shukrannawe pia
Jitahidi bana usilale..Tumelala kazi ya ulinzi naona inaanza kunishinda
Ananielewa...muhusikaunaongea uko siriazi kama kweli vile