Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
HahahaHuu uzi sometime unaweza ukakufanya mtu ukeshe maana notification za kina "Yna4,Astelia,Bbade" mixer movie hata sipati usingizi aysee
HahahaHuu uzi sometime unaweza ukakufanya mtu ukeshe maana notification za kina "Yna4,Astelia,Bbade" mixer movie hata sipati usingizi aysee
Duh halaf silipwi sasa hili lindo suguNa bora usipate usingizi..uimarishe lindo vizuri
Ubongo haulali wanasayansi wanasema kuna baadhi ya seli kwenye ubongo hua zinaendelea kufanya kazi hata ukiwa umefarikiUbongo nao ulala
Mlinzi mwenzangu mambo niaje mitaa hiyoChumchang changchum
Cheka cheka ili usiku uwe mfupi kwakoHahaha
Yna12 alienda wapi..Haha
Wanasayansi utawaweza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ubongo haulali wanasayansi wanasema kuna baadhi ya seli kwenye ubongo hua zinaendelea kufanya kazi hata ukiwa umefariki
Saa hata haziendi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cheka cheka ili usiku uwe mfupi kwako
Waongoo eeehWanasayansi utawaweza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
zinaenda sema ty umedhamiria kulala ila saa zinatembea vibayaSaa hata haziendi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alichukuliwa na wasiojulikanaYna12 alienda wapi..
Yna4 ina maana gani?Alichukuliwa na wasiojulikana
Mambo safi kabisaMlinzi mwenzangu mambo niaje mitaa hiyo
Saa zingineWaongoo eeeh
movie01:40 karibun tuangalie mogie
Saa ngapi hapo lisaa langu libovuzinaenda sema ty umedhamiria kulala ila saa zinatembea vibaya