Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
I mean utakuwa home??Sikusomi jirani
I mean utakuwa home??Sikusomi jirani
NdioI mean utakuwa home??
Poa,ntakucheki morning basi ngoja nimnyonyeshe Nathaniel kaamka hapa basi tabu tupu,.Ndio
Poa. Mpe salam za ankoPoa,ntakucheki morning basi ngoja nimnyonyeshe Nathaniel kaamka hapa basi tabu tupu,.
Nikajua emelala?Popozzzzzzzzzzzzzzzzz
Bado sijalala, naona zoezi lako la jana limekuwa endelevu sio!Nikajua emelala?
Najitahidi, kuliachaBado sijalala, naona zoezi lako la jana limekuwa endelevu sio!
Kila la kheri
Ni chanel ipi hiyo?

BBC News-The PapersKila la kheri
Ni chanel ipi hiyo?
Nipe maana ya hilo neno...huwa nalitumiaga vibaya....Wooooiiiii
Swadakta!
Poa, safi, fresh, mzuka, haina mbaya,Nipe maana ya hilo neno...huwa nalitumiaga vibaya....
swadakta
Basi fresh...nilikuwa sikoseiiiPoa, safi, fresh, mzuka, haina mbaya,
Oooh!, Karibu..Basi fresh...nilikuwa sikoseiii
Leo ubakie huko huko...maana jana nikasema umesinzia sebuleniOooh!, Karibu..

HahahahahaaaaaLeo ubakie huko huko...maana jana nikasema umesinzia sebuleni![]()