Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
2:36 AM
MliopitiA hii mpo ?View attachment 830649
Hilo jambo la kupanga foleni lilinishinda kabisa. Nilikua bora nisile kuliko kupanga mstari. Nashukuru nikaunga ushoga na wapishi viongozi wa chakula na anaehudumia walimu. Nikaachana na upuuzi huoMliopitiA hii mpo ?View attachment 830649
Mimi nilisom shule moja hivi nikayakuta haya.nikahama
niliyoenda hatukuaga tunapanga mistari ni kila mtu na time yakeDadeq
hii kitu inaudhi mnooo
hahaha mangi umekumbuka shamba lako la klm?Sina usingizi kabisa yani, maamaee
Sina usingizi kabisa yani, maamaee
Asante,mkuu Mungu ni mwema tunaendela kuishi kwa neema yake..
04:54