Benson Hendrix
Member
- Jun 28, 2016
- 8
- 7
01:36
Asante,mkuu Mungu ni mwema tunaendela kuishi kwa neema yake..Hongera mkuu.
Ubarikiwe mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120]01:30 niko macho,bado naendelea kumtukuza Mungu..
Hahah aisee,,Alieniibia usingizi wangu anirudishie kabla sijaripoti kwa mshana jr
[emoji16] [emoji16]Hahah aisee,,
umejuaje mkuu[emoji23][emoji16] [emoji16]
Au wewe?
Nimejua tu kwa kicheko chakoumejuaje mkuu[emoji23]
nmeshangaa ujue,, nipo hapa hapa hlf unataka uniripoti kwa mshana jr tena,,, kuna vitu vya kuripoti mkuu[emoji23]Nimejua tu kwa kicheko chako
[emoji16] [emoji16] [emoji16]nmeshangaa ujue,, nipo hapa hapa hlf unataka uniripoti kwa mshana jr tena,,, kuna vitu vya kuripoti mkuu[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16]
Baada ya kuchimba mkwara ndio umefika ...ungechelewa kidogo mshana angefanya yake
02:17Online 02:10...
Mambo ya kupaa na ungo na zile tunguliNawaonea huruma hamjalala mpaka saa hizi,download hii app kutoka playstore 'Sleep Sounds' ili mlale isijekufika saa 9 usiku mkaanza kuona mambo ya kina Mshana Jr...
Leo paka nione nyungoMambo ya kupaa na ungo na zile tunguli
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23]
sawa bhana ,,ngoja nikurudshie usingizi wako ,,,mshana jr asije fanya yake hapa
Hata mm nataka nishuhudie aisee,,, hadithi zao nmezchokaLeo paka nione nyungo
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16]
Bora umejiwahi