JamiiForums Usiku wa manane
Duh sio mchezo wenye kazi zao wameanza.

UPDATE.. habari tulizopata hasubuhi jamaa walienda kumuulizia baba mwenye nyumba (jirani yangu) hawakumkuta ndio wakapiga risasi nyingi juu kama kuacha ujumbe kuwa wanapajua kwake na wamesema kuwa watarudi ila uzuri wajadhuru mtu yoyote

story zimeanza mtaani kuwa jamaa kadhurumu wenzake kwente madili yao huko
 
Back
Top Bottom