JamiiForums Usiku wa manane
😉😉😉😉😉
Aisee mudaa huu nacheka tu na jamii photo.
Angalia usiwe felia wa maisha kama mimi mkuu nazeeka sina hata vitz
Hahah VITZ ya nini mkuu wkt naweza nikapanda haice kwa nauli ya jero jero tu hapa mjini kama ile thread ya Padri Mcharo uliyochangia aisee.
 
Hahaaaaa wee jamaa upo unakagua comments zangu. BTW nimesoma thread zote za Padri mcharo toka saa 23:00 nimecheka mbaya mbovuu
 
Hahah nilikua ndo nimefungua jf nikaona nyuzi zinazo trend ume comment kwny huo uzi hahah,
 
Hahaaaaa wee jamaa upo unakagua comments zangu. BTW nimesoma thread zote za Padri mcharo toka saa 23:00 nimecheka mbaya mbovuu
By the way niko huku lindoni nacheki movie moja inaitwa "Syria cover" ya mwaka 2017 ukipata muda icheki ina uspy kidogo wa mossad vs Syria intelligence agency iki reflect kipindi cha utawala wa Asssd Senior.
 
Kidogo nifukue uzi wa muuza simu flan hivi toka kwao na Seneta Wa Mtwiz nikaamua kumkaushia maana uzi wa 3yrs ago..
Hahah aisee umetisha sana, ule uzi usha expire kitambo sana.

By the way simu yenyewe haikununuliwa wala nini,hapo ndipo utajua uanaume bila hela mbupu zinageuka kua mzigo,hahah
 
By the way niko huku lindoni nacheki movie moja inaitwa "Syria cover" ya mwaka 2017 ukipata muda icheki ina uspy kidogo wa mossad vs Syria intelligence agency iki reflect kipindi cha utawala wa Asssd Senior.
Ooooh sijaicheki hiyo kabisa, nitaitafuta. Mm nimeangalia muvi moja tu leo. Fortune Soldier.
 
Hahah aisee umetisha sana, ule uzi usha expire kitambo sana.

By the way simu yenyewe haikununuliwa wala nini,hapo ndipo utajua uanaume bila hela mbupu zinageuka kua mzigo,hahah
Hahaaaaa biashara yako ad's zake zilikua low sana. Ungempa hata mchepuko
 
Siamini kama nimeshindwa kulala mpaka mda huu
Kama hauko kazini muda huu basi ujue wengi wenye matatizo ya kulala mpk sasa hivi ni wale member wa CHAPUTA na hio ni moja side effects yake mkuu(niko serious).
 
Unataka kuniaminisha kwamba Mimi kua macho mpaka sasa ndio Niko sahii
 
Hahaaaaa biashara yako ad's zake zilikua low sana. Ungempa hata mchepuko
Hahah wadau humu wanafiki sana hata kuja PM kuulizia bei hamna,hahah.

Niliishia kuifanya kama modemu tu(kusambaza wi-fi kwny Pc)
 
Sijaisoma hio ni Action/Comedy/Comic au?
Action ya kivita mzee
Captains Craig McCenzie (Christian Slater) and Mike Reed (Freddy Rodriguez) are United States special forcessoldiers on a mission to find Osama Bin Laden in an unspecified location in the Middle East
 
Back
Top Bottom