Herymiller
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 613
- 861
Wee arosto tena mkuu coz me mwenyewe ni writer mzurEntertainment kulee ila ujiandae kwa arosto
Wee arosto tena mkuu coz me mwenyewe ni writer mzurEntertainment kulee ila ujiandae kwa arosto
Naomba unisaidie maana ya iyo neno arosto nasikiaga mara nyingi bado sijajua wana maana ganiEntertainment kulee ila ujiandae kwa arosto
Jamani basi fanya kutuletea mambo wapenzi wa hivi vituWee arosto tena mkuu coz me mwenyewe ni writer mzur
Mgonjwa anatakiwa atembelewe na watu wengi inamfariji zaidiHapana mje siku tofauti..
... Mgonjwa wa kutaka kutembelewa na mtu mmoja mmoja mmh!Stay tuneJamani basi fanya kutuletea mambo wapenzi wa hivi vitu
Kwa Dar ni 107.3Radio gani pengine naweza kuipta hapa niskize.
Mmoja mmoja ndio inanoga bibie..Mgonjwa anatakiwa atembelewe na watu wengi inamfariji zaidi... Mgonjwa wa kutaka kutembelewa na mtu mmoja mmoja mmh!
Kwa uelewa wangu nadhani ni kuwa na kiu au kusubiria kitu kwa muda mrefuNaomba unisaidie maana ya iyo neno arosto nasikiaga mara nyingi bado sijajua wana maana gani
Chanzo chake ni lugha gani? Kiwahili kipana usinishangae maana sijawahi kuelewa hii neno maana yake na inatumiajeKwa uelewa wangu nadhani ni kuwa na kiu au kusubiria kitu kwa muda mrefu
Wavumbuzi wa hili neno wakuje
Kwa Dar ni 107.3
Kwakweli za kijasusi zaidi kama peniela vileeStay tune
Ww huwa unapenda za aina gani
Politic
Rimance
Action
Reality stories
O za kiswazi
Haya nitajitahidi nije nikujulie haliMmoja mmoja ndio inanoga bibie..
Siku nyingine ndo mje pamoja
Ngoja waje ila kiswahili kinazaliwa kila kukichaChanzo chake ni lugha gani? Kiwahili kipana usinishangae maana sijawahi kuelewa hii neno maana yake na inatumiaje
Lini utakujaa..Haya nitajitahidi nije nikujulie hali
Nitakujulisha nadhani keshokutwa au utakuwa umepona?Lini utakujaa..
Nitakua nishapona jamaniNitakujulisha nadhani keshokutwa au utakuwa umepona?
Natumaini hivyo piaNitakua nishapona jamani