freshet net
Senior Member
- Nov 3, 2014
- 153
- 169
Pitia kwa mangi bill juu yanguBia za buku zipo wapi

Pitia kwa mangi bill juu yanguBia za buku zipo wapi

Hapo ulipo.wapi?
Kwani huko SAA ngapi?shamma hii post tunatumia masaa ya kibongo bwana
AAAAAA chips za wapi mbona kubwa kubwa sana kama ndizi?napenda chips kuku nimetoka kula sasa hivi kwa mpemba ila pia nimetamani hizoWikiendi sipeshoView attachment 826359
Saa ya kwenye app ya Jf inadanganya. Nahisi mods awajaweka betri mpya
usikute wamesahau compile file lenye script ya mudayeye aliniquote saa moja asubuhi katoka nje ya protocolKwani huko SAA ngapi?
Hizi ni ndizi miss amu na niza home unapenda vyakula vya wapemba eeh kwanin?AAAAAA chips za wapi mbona kubwa kubwa sana kama ndizi?napenda chips kuku nimetoka kula sasa hivi kwa mpemba ila pia nimetamani hizo
OK ,ngoja nilinde Uzi huu usiibiweyeye aliniquote saa moja asubuhi katoka nje ya protocol
Hapo pembeni hakuna maji ya dhahabu kweli...!Wikiendi sipeshoView attachment 826359
karibuOK ,ngoja nilinde Uzi huu usiibiwe
Hapo ulipo.
Asante!! Mara moja moja sio mbaya ila ulivoandika mpemba nimekumbuka kuna mpemba gmboto alikua anapika chips zinagombaniwa ila nyuma ya pazia kulikua na kituhapana leo nilikuwa nimechoka sana nlikuwa nafanya usafi wa maana sikupika chakula ndo maana nimenunua kwa boboo ,hongera kwa mpishi wa chakula hiko
Haha! Hakuna kamanda me sio mnywaji kabisaHapo pembeni hakuna maji ya dhahabu kweli...!
embu leta kaifa za nyuma ya pazia,mimi kama ni planned kununua chakula kama mtoko nina sehemu zangu aisee ila za mtaani ni kama hivi nkiwa sijapika sababu nina makazi au kahamu kaghafla kamenigusa japo ratiba yangu kila jumapili nakaanga chipsAsante!! Mara moja moja sio mbaya ila ulivoandika mpemba nimekumbuka kuna mpemba gmboto alikua anapika chips zinagombaniwa ila nyuma ya pazia kulikua na kitu
Nawe unalinda?karibu
Alikua anatumia maji ya maiti kuoshea viazi vyake na ni sharti alilopewa na mganga ili apate wateja wengi na sehemu al ipo alikua karibu na chuo cha Kampala sasa kuna mwanafunzi ana majini ndie aliye mstukiaembu leta kaifa za nyuma ya pazia,mimi kama ni planned kununua chakula kama mtoko nina sehemu zangu aisee ila za mtaani ni kama hivi nkiwa sijapika sababu nina makazi au kahamu kaghafla kamenigusa japo ratiba yangu kila jumapili nakaanga chips
aisee huu ni ukorofiWikiendi sipeshoView attachment 826359
Kwanin mraisee huu ni ukorofi