Nyote mmelala tayarLakini si unasemaga nakupa morale ya kufanya lindo kwa ujasiri??!!
Sasa wacha nije ufanisi uongezeke
Bado sijalalaNyote mmelala tayar
Shida nini bibie..Bado sijalala
Hua inatokea..nililala saa nne kwenye saa nane hivi usingizi ukasepa..Shida nini bibie..
Mm nililla sa 12 jioni.
Wewe tutaongea mchana nikitoka job... Bosi wangu ni mkaliLakini si unasemaga nakupa morale ya kufanya lindo kwa ujasiri??!!
Sasa wacha nije ufanisi uongezeke
Polee.Hua inatokea..nililala saa nne kwenye saa nane hivi usingizi ukasepa..
Siko home, out of the City.Bruv Don Mbona hulali au nawe una Insomania kama mimi (Sina uhakika na herufi)
Basi wacha niutafute usingiziWewe tutaongea mchana nikitoka job... Bosi wangu ni mkali
Pole sanaSiko home, out of the City.
Nimelala sana mapema.
Pole na wewePolee.
Tatizo mm nikisema nilale nakaa hadi saa nzima usingiiz hauji. Nishasikiliza mziki nilale ila wapiii..
😱😱 saa 11. Macha yatakuvimba. Jitahid upate partiner wa kulala nae..Pole na wewe
Hapa hadi kumi na moja hivi ndio kausingizi katakuja
😱😱 saa 11. Macha yatakuvimba. Jitahid upate partiner wa kulala nae..
Aahaa nyie watu wa Dar mnashida kweli. Hamna amani na jiji lenu.![]()
Hilo neno shirikishi litoe
Aahaa nyie watu wa Dar mnashida kweli. Hamna amani na jiji lenu.
Access Granted.
Word removed

Mbn mapemaBasi wacha niutafute usingizi