xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,709
Unanitishaa mana nishawahi kula zile chips sku moja. Si pale karibu na stend?Asante!! Mara moja moja sio mbaya ila ulivoandika mpemba nimekumbuka kuna mpemba gmboto alikua anapika chips zinagombaniwa ila nyuma ya pazia kulikua na kitu