Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Hebu amkeni nyie ,au siku hz hkn jogging?
Bado unao?Njoo uchukue nilikushikia kwa muda
Nilipewa ushauri nimeze,Kuna siku ulisema umemeza pirton (sina uhakika na spelling)
We njoo ndo uchukueBado unao?
Nishauchukua....acha niutumikie. ShukranWe njoo ndo uchukue
hahahahahaha haya bwanaNishauchukua....acha niutumikie. Shukran
nawe wapitaga kwenye mkesha bro?

Amukuna mtu humu tuchat
out of city? mbona hujaniagaSiko home, out of the City.
Nimelala sana mapema.

si ameaga mpenzi wake?out of city? mbona hujaniaga![]()

mpenzi yupi?si ameaga mpenzi wake?
kama hujui kusoma alama na picha huoni?![]()
![]()
sio lazima umjue, halafu nikirudi home lazima nkufinyeempenzi yupi?

shamma hii post tunatumia masaa ya kibongo bwana
Namimi nitakuepokuepo