Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Ewaaa tuko pamojaHahaaaa kumbe mwoga ntakutafuta weekend usiku mrefu aisee ngoja tupunguze
Ewaaa tuko pamojaHahaaaa kumbe mwoga ntakutafuta weekend usiku mrefu aisee ngoja tupunguze
KwannnHivi bado huu uzi haujabadilishwa jina
Wewe bado tuNaona watu wamelala,pumzi ndogo
BroAiseee
Niaje bro Habari gani
katikati ya jiji hapa .....sogea upate kreti la piliMko wapi ,niwaibukie tupige story,nina kreti zimaa hapa la.....
Kwema ase, Mungu anasaidia, vipi huko?Niaje bro Habari gani
Nyie watu hamjambo? Niliwahamu sana!Here sooooo much,.
geti twende tukaijenge tanzania ya viwonderJuzi watu walikua wanachati mchana kweupe nikamuomba muasisi Wa uzi huu abadili title kama anawezaKwannn
Njoo unipe cha asubuhi, mganga SAA hz kaenda kilingenuWewe bado tu
Hatujambooo....nilikuhamm mnoo jomoniiiNyie watu hamjambo? Niliwahamu sana!

Hamjafanya nini?Hatujambooo....nilikuhamm mnoo jomoniii![]()
Huu mtaa siku hz hakuna kamshangwe
Nipo na linda hapaMmelala huu mtaa?