Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Ohh kwa leo umechelewa labda tukijaaliwa kesho kama ntakomeshwa kama hiviUsisahau kunikaribisha Daku
Ohh kwa leo umechelewa labda tukijaaliwa kesho kama ntakomeshwa kama hiviUsisahau kunikaribisha Daku
Muda sahihi wa kula Daku ni huu? mbona wewe umewahisha mnoOhh kwa leo umechelewa labda tukijaaliwa kesho kama ntakomeshwa kama hivi
heheheHiyo pombe gani inauzwa ya kutoa mawazo, yakitoka unabakiwa na nini sasa?
Wengine husema hivo wengine wana sema kivyao me najionea sawa tuOk, ila ukichelewesha inakuwa bora zaidi eti ee
Kuna watu wameniboaaaaMawazo yanaondoka kwaa pombe??
Red labelHiyo pombe gani inauzwa ya kutoa mawazo, yakitoka unabakiwa na nini sasa?
Pole lakini hukupaswa kufika hukoKuna watu wameniboaaaa
SawaWengine husema hivo wengine wana sema kivyao me najionea sawa tu
AyaSawa
Sikuwa na jinsiPole lakini hukupaswa kufika huko