HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Mashabiki wa Liverpool wameamka na hangover ya ramosShukran mkuu,leo nipo front bench sitaki kule back bench maana juzi mashabiki wa Liverpool walikuwa wanapiga sana kelele ila Jana hali ilitulia baada ya nyapara Ramos kuwashughulikia.