mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,577
- 45,176
Moto ule unaunguza
Moto ule unaunguza
We mwenyeji si upo?kwa Mangi unaweka hata kidaftaliSasa huku kwa mtogole si watakukaba na hivyo unavyoogopa achana na beer za kiduka cha kwa mangi
Kama ulikuwepo unakunywa hela zikiisha unaandika deniWe mwenyeji si upo?kwa Mangi unaweka hata kidaftali
Ndio maana mimi nasemaga huyu kabwili sio kipa,sasa ni goli gani lile lakufungwa?[emoji23]
Ewaaa,sasa Fanya mipango niwe mgeni wako ,ila usiniache pekee yanguKama ulikuwepo unakunywa hela zikiisha unaandika deni
Sawa nitakupigia no yako si ni nayoEwaaa,sasa Fanya mipango niwe mgeni wako ,ila usiniache pekee yangu
Hahaha, vzr km unayo ,ila ziko nyingiSawa nitakupigia no yako si ni nayo
Zote ninazo [emoji16][emoji16]Hahaha, vzr km unayo ,ila ziko nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23] ataenda kuwaeleza vizuri waingereza leo...maskini hadi kutoka uwanjani alikua anatoka huku anaomba radhi hahahaNdio maana mimi nasemaga huyu kabwili sio kipa,sasa ni goli gani lile lakufungwa?[emoji23]
Hahaha, kha yaani nimecheka mwenyewe eti zote unazo ,safi sana ,ila ukinikosa nitafute humu humuZote ninazo [emoji16][emoji16]
Tunaweka magogo pale mtaa wa twiga,hawapiti leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] haiwezekani akubali m pesa kutoka kwa wapinzani[emoji23][emoji23][emoji23] ataenda kuwaeleza vizuri waingereza leo...maskini hadi kutoka uwanjani alikua anatoka huku anaomba radhi hahaha
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Wazungu wana fair play, angekuwa bongo kesho angekuta barua yake ya kwenda Ndanda au lipuli kwa mkopo.[emoji23][emoji23][emoji23] ataenda kuwaeleza vizuri waingereza leo...maskini hadi kutoka uwanjani alikua anatoka huku anaomba radhi hahaha
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Tunaweka magogo pale mtaa wa twiga,hawapiti leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] haiwezekani akubali m pesa kutoka kwa wapinzani
Hahaha, Linda ndoaJamani acheni niwaache muwe na usiku mwema nawapenda kuna majukumu mengine huku yananisubiri [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wazungu wana fair play, angekuwa bongo kesho angekuta barua yake ya kwenda Ndanda au lipuli kwa mkopo.