Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
hahaha kumbee! yule kipa wa liver anaKesi ya kujibu leo...Goli linalofungwa mbali,kuna mtangazaji wa Azam Tv anaitwa Baraka Akson Mpenja alianzisha style ya kuita Mama mkanye mwanao.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app




