manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,058
Wasalimie sana washika bunduki maisha bila wenger yanawezekana22:44 London UK
Wasalimie sana washika bunduki maisha bila wenger yanawezekana22:44 London UK
Sio unalala ki nke nke hahahhaa
Nalog off
22:44 London UK
Jimbo liko wazi ila wagombea ndo wamerudisha form NECJimbo liko wazi Mzigua? Sio kwa cheko hilo saa hizi.
ntafunga kesho ndo maana najazia
Jimbo liko wazi ila wagombea ndo wamerudisha form NEC
Deadline ya kurudisha form bado.Ikimaanisha hakuna kuchukua form tena, dirisha limeshafungwa.
Deadline ya kurudisha form bado.
Mgombea wewe mbabe mbona.??Naruhusiwa kutuma? Ila nna wivu? NEC wakinikata kwenye mchujo nachoma nembo, ofisi ya kata, wilaya, mkoa, wizara inayosimamia NEC na wafadhili wote nachoma ofisi zao popote walipo.
Nikipita nikafanikiwa kuchukua jimbo, sitaki foleni.
Mgombea wewe mbabe mbona.??
Kwahiyo tukujue mapema tusijekukuita jiwe baadae eehSio mbambe, naweka wazi sera zangu. Hamkawii kuniita jiwe nikinyakua jimbo.
we dogo mbona mkorofi? au unataka nikupige kabali ya mbao?braza vp mbona unaongea makorokocho?
Salam zitafika ila Wenger mtamkumbuka sana,sometimes thamani ya kitu hujulikana pale unapokipoteza!Wasalimie sana washika bunduki maisha bila wenger yanawezekana

Aaah! Mwenzangu una shibe mie nimejidunga juice tu tena tupo mbalimbali tukeshe? Ingekua tupo wote ungekaa sawa ndani ya nusu saa tu kisha ungelala usingizi mzito kama sio kuomba tena supu ya ulimi au mkia.

Mgombea wewe mbabe mbona.??
Ina maana Wenger hatunae tena Arsenal?Salam zitafika ila Wenger mtamkumbuka sana,sometimes thamani ya kitu hujulikana pale unapokipoteza!

Sio mbambe, naweka wazi sera zangu. Hamkawii kuniita jiwe nikinyakua jimbo.