Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Utaiweka wapi? Kuvimbiwa kumeisha au leo haulali?
kukipungua najazilia tena supu kongoroUtaiweka wapi? Kuvimbiwa kumeisha au leo haulali?
kukipungua najazilia tena supu kongoroNdio mkuu, ila supu ya bamia isikosekane, alafu kasema amevimbiwa usisahau kuwekamo na magadi kidogoMashavu sio!
Thad umemficha wapi
Asipate taabu wahudumu nishawaagiza wanamwandaliaNdio mkuu, ila supu ya bamia isikosekane, alafu kasema amevimbiwa usisahau kuwekamo na magadi kidogo
Umenikumbusha mbali aisee msiba wa kuvimbiwa usikie tu Kwa jiranihabari ni kwamba nmevimbiwa apa nasubir digestion ifanyike nilale
Lzm ziwepo kaka la sivyo sintokula daku,hapa tunacheza last card bunda kama tatu hivi,mjini hapa ohooo!![]()
![]()
![]()
![]()
sitegemei na Leo unacheza karata
yuko wapi?Jje' s karibu mama umepotea sana
![]()
![]()
![]()
kukipungua najazilia tena supu kongoro
![]()
asante kwa offer

Zilipendwa umeniweka kapuniNaota naokota madoraliView attachment 786323
mr anakubana sanatukeshe basi mpk niwe sawaBasi tena, hapo leo mkesha.
hehee![]()
![]()
Sawa Mrs Mtakatifu a.k.a kipenzi wa Hb wa kabila la jiji jipya![]()
![]()
Unajazia kwani unaenda kulima![]()
![]()
![]()
kukipungua najazilia tena supu kongoro
Salama komredi, naona kilinge bado kina ulinzi wa kutosha hata baada ya kumpoteza mlinzi mkuu Mwifwa. Hongera komredi.Kiongozi habari za siku nyingi
Hahaha naona Mtaalamu ameamua akuhonge kwa kutumia tekinolojia yakeNaota naokota madoraliView attachment 786323
