mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,577
- 45,176
Unataka ipi? bomba au kwatonipe supu ya kongoro nmeimiss
Unataka ipi? bomba au kwatonipe supu ya kongoro nmeimiss
kwatooooUnataka ipi? bomba au kwato
Mpatie mashavu nusu, na supu ya bamia gharama juu yangu.Kuna live band na vijana classic
Kuna supu ya kongoro, supu ya mkia, supu ya mbuzi, kuna hadi mashavu
Upo???Mpatie mashavu nusu, na supu ya bamia gharama juu yangu.
Mhudumu mupe musupu ya kongoro kwato asuuzike na moyo wakekwatoooo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] polehabari ni kwamba nmevimbiwa apa nasubir digestion ifanyike nilale
Na mimi pia nimekumissNmekumiss zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]habari ni kwamba nmevimbiwa apa nasubir digestion ifanyike nilale
Na mimi nakusalimia ndugu yanguMm nawasalimu woteeee, ukinionea Thad nisalimie. Nimemmisi kuliko kawaida
Mashavu sio!Mpatie mashavu nusu, na supu ya bamia gharama juu yangu.
[emoji23] [emoji23] asante kwa offerMpatie mashavu nusu, na supu ya bamia gharama juu yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitegemei na Leo unacheza karataNiko kwa jirani nikivizia daku tunacheza karata
Nalog off
chanteeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] pole
Kiongozi habari za siku nyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
cuzooo unakuja unabeep na kupotea ...shemela wako anakusalimuNa mimi pia nimekumiss
Nipo agash, bado Mungu hajanipenda zaidiUpo???
Mngh!!Naota naokota madoraliView attachment 786323
nipe supu ya kongoro nmeimiss
HahahahahMngh!!