JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahah aisee mzee nimemkubali,research ya mzee ya PHD ilikua inahusu jinsi maganda ya Korosho yanavyondoa kutu kwenye chuma

sasa sijui maganda ya miwa tunaweza kuyavumbulia kufanya kitu gani mkuu?
Namkubal yule anaweza akajiandikia mwenyew appreciation[emoji16][emoji16] half akajpa
 
Hahah aisee mzee nimemkubali,research ya mzee ya PHD ilikua inahusu jinsi maganda ya Korosho yanavyondoa kutu kwenye chuma

sasa sijui maganda ya miwa tunaweza kuyavumbulia kufanya kitu gani mkuu?
Nyie hayo mambo ya kujafili PHD ya mzee kuna watu walipotea hadi leo
 
Back
Top Bottom