Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Usijaliiii kakaNipo mkuu, nilikuwa sehemu mtandao ukwa shida ndio maana hata humu nikawa nashindwa kutia jicho
Wewe chapa kazi
Mimi niko arusha naandaa ukuta ili JOM aje afungue
Usijaliiii kakaNipo mkuu, nilikuwa sehemu mtandao ukwa shida ndio maana hata humu nikawa nashindwa kutia jicho
HatariousNakesha leo.
Oky naona mida hii ni popo waliosalia kambini !!Atakuja vuta subira kidogo ngoja mimi nivute kamba.
Kwema kabisa mkuu hofu kwakoNinawasalim wote
Ukuta gani unaandaa ?Usijaliiii kaka
Wewe chapa kazi
Mimi niko arusha naandaa ukuta ili JOM aje afungue
Karibu nduguNinawasalim wote
Ule atako enda kuzindua JPM wa mereranjUkuta gani unaandaa ?
Duuh pambanaUle atako enda kuzindua JPM wa mereranj
Bradha karibuuHatarious
Shem umenionea Mr wangu huku???Karibu ndugu
Habari za kwako
Hata mimi ninampango wa kumualika aje afungue kiwanda changu kidogo hapa cha kusindika mlendo a.k.a KINU na MCHIUsijaliiii kaka
Wewe chapa kazi
Mimi niko arusha naandaa ukuta ili JOM aje afungue
Bundizz mida yao bado..Oky naona mida hii ni popo waliosalia kambini !!
Ntakushikia lindo usijaliHaya karibuu ila japo umekuja siku ambayo nasinziaaa
HayaDuuh pambana
Hata mimi ninampango wa kumualika aje afungue kiwanda changu kidogo hapa cha kusindika mlendo a.k.a KINU na MCHI