Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Hali ngumu. Nahitaji hata lepe tu la usingizi. Feeling lonely!
Usicheke bhana yan hapa namuonea aibu wife maana kashajua hapa leo kidume cha mbegu kimchemka na kitu kingne nahc wakat nakusanya hela zangu a.k.a shuka alikuwa ananichora tu na uskute alinichukua video xxa hpo ndio balaa kbxa aisee yan usngz hauji daaaadeki.
Hajachukua video mkuu. Ndoto nzuri lakini, maana nafikiri za hivi (pesa) ni adimu sana. Zilizojaa ni kukimbizwa tu!!!!Usicheke bhana yan hapa namuonea aibu wife maana kashajua hapa leo kidume cha mbegu kimchemka na kitu kingne nahc wakat nakusanya hela zangu a.k.a shuka alikuwa ananichora tu na uskute alinichukua video xxa hpo ndio balaa kbxa aisee yan usngz hauji daaaadeki.
Sio wotee wengine ndio tunaomba kaziii aisee.Ni kwamba wadau wote wamelala ama? Kila Demiss akipitia jukwaani anapulizia watu usingizi.
hahahahaha
mwalimu iyo itikia yako mbona hivyo lkn...
hahaha hahaha aiseee


Braza ulikuwa wap?Popozzz
Umefanyaje madamMimi mwenzenu leo
Nambie bobMida yetu hiiii