Nakua popoUmefanyaje madam
Yuko kwenye magroup ya watsappKichwa kichafu haonekani mpaka leo ? Mwifwa nielekeze kuhusu kumpata kichwa kichafu
HahahaNakua popo
Niko kitandani toka saa mbiliHahaha
Uwahi kupumzika wewe!
NIPE NAMBA YAKE NIMCHEKIYuko kwenye magroup ya watsapp
AaahNIPE NAMBA YAKE NIMCHEKI
AbeeeMzigua90
UwiiiiNiko kitandani toka saa mbili
Oky namsubiri ila huwa anaingiaga humu ndani ?Aaah
Ngoja akija akupe maana si poa kutoa mawasikiano ya watu.
Mcheki mchana huwa ana kuepo kuepo
Upo cheupe dawaAbeee

Nakesha leo.Uwiiii
Sasa hapo ndio hulali mpaka asubuhi?
Huku huwa haji sku hiziOky namsubiri ila huwa anaingiaga humu ndani ?
Ahaaa ashakimbia milele daah basi sawa mpe hai mwambie ASHOMILE WA JF , anakukumbuka..Huku huwa haji sku hizi
Labda mcheki mchana kwenye nyuzi zengine
Nipo mkuu, nilikuwa sehemu mtandao ukwa shida ndio maana hata humu nikawa nashindwa kutia jichoBraza ulikuwa wap?
Ahsante mkuuMwifwakaribu
Haya karibuu ila japo umekuja siku ambayo nasinziaaaNakesha leo.
Atakuja vuta subira kidogo ngoja mimi nivute kamba.Kichwa kichafu haonekani mpaka leo ? Mwifwa nielekeze kuhusu kumpata kichwa kichafu