Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
SawaAaah
Huko mbali na nilipo ngoja niwatafute wadau wa TMK nione kama watakusaidia
SawaAaah
Huko mbali na nilipo ngoja niwatafute wadau wa TMK nione kama watakusaidia
Gate openedGate closed
KwemaKwema humu
OMG!Nasemaje Manga ML Iceman 3D Mr Miller nasemaje hizo choyo na husda zilizowajaaa kooni nawawekaa kiporoooo najua mtapita hapa nawasubiri usiku .
Maswala ya kunisema sitaki.
Huo wivu wenu hauniyumbishi hasa wewe Mr Miller ndo unachochea sana
Nilivyokuwa single mbona hamkuja kunisaidia matusi niliyokuwa natukanwa kwamba natafuta soko hapa Jf .
Nimepata mtu wa kunishika mkono bado mnabwabwaja ?
Kwahiyo mnataka niwe nan kwa mfano?
Nyie wenyewe mnaongoza kwa kutoa ushaur wanawake tuolewe mnaumia nn pale tunapooelewa?
Mwanaume mwenzenu kupata vitu vizur mnaumia ndo muanze kuleta maneno ya husda?
Mnaongea maneno ya shombo as if hamna wapenzi ?
Kuna mtu amekatazwa kuopoa mwanamke ?
Opoa wa kwako jitangaze ili iwe fresh kuna mtu kakatazwaa.
Eti umepoteza mvuto mliambiwa mm nina shida ya mvuto ?
Nina mwanaume ambaye ni Mfalme wa moyo wangu ananipa mapenzi mpaka najiogopa.
Mnafurahia sana ningekuwa nachezewa na wanaume wakware ndo mnachokipenda sasa najua imewauma sana.
Hivi mm nikiolewa hasala kwa nan? Poooh nawaweka kiporo cha pilau![]()

Kwa niaba ya wenzangu woote tulio ongea naomba nikutaarifu kuwa usichukulie siraz kila kitu hapa usiku wa manane.
Hatukuwa siriaz, yaan ilikuwa ni full utani kwa kuwa tulikuwa tumepata ka topic ka kuongelea, kuna siku hapa huwa tuna panga hadi kuua watu. Lakini huwez kutuita wauaji. We are just passing time.
Sisi tutaanzahe kushindana na mzee wa ulozi kwa mfanoo? Tuna heshim maamuzi yenu na tuna waheshim nyie. Tunaheshim hasa wake za watu kama wewe.
Mi nilijua ya jana yaliishia jana, ustoe povu wala uspanic, hatukuwa hata siriaz.
Msalimie mzee mshana mwambie tulikuwa tuna poteza muda tu kwa stori.



Demiss....Majina mliyoniita jana yalikuwa mazur eeeeh?
Hivi mme wangu akiona unazan anajisikiajeee ?
Utani usiokuwa na mipaka ndo maana niliamua kuacha kuendelea kuchat .
Mm kibibi sna mvuto nimebadilika
Haya niwaulize nimebadilika nn kwa mfano?
Mm nimeshakuwa mke wa mtu yanipasa niishi kama mke wa mtu na lazima nibadilike nyie mlikuwa mnataka niweje kwa mfano
hahahaOngoo mscheewww
walikuwa wanakesha wapi?C mlikuwa mnamkesha