JamiiForums Usiku wa manane
Jamani wana usiku wa manane woote ahsanteni saana kwa kuwepi humu iwe kila siku au mara moja kwa mwezi.
Tunapo anza huu uzi we never thought unge fika hapa. Nyie ndio mna sababisha hilo kila siku nawaaminia na M/Mungu awabariki.
Nawajali na wathamini nyie nyoote ni ndugu zangu.
Nawatakia Pasaka njema

I feel blessed to know y'all
 
Waraka wa pasaka wasafari hii umepata sanaaa kiki
Na me napenda nitoe waraka wangu

Uziw wetu umezidi kuwa mzuri Sana'a
Nadhan utawapita ule wa makapuku!
Tudumu na kuimarisha nyuzi yetu!
Natoa rai kwa mods wasifute Uzi wetu!

Happy Easter
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Masons thread ya jf usiku wa manane
 
Wakuu missa ya pasaka inaanza Saa ngap? Nataka niwe wa kwanza niwai siti ya mbele kabisa
 
Back
Top Bottom