JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimekaa zangu nachat JamiiForums napitia thrads mbalimbali mida ya sa 7 kasoro mara nasikia kitu kinaungua navuta halufu naona mana moshi wa bomu la machozi hivi maana mwanangu ameamka analia yaan poa inauma balaa na machozi yanatoka kabisa
SIJUI NI NINI????
Itakuwa mpo kweny, maandamano kimya kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
 
Back
Top Bottom