Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Nasemaje Manga ML Iceman 3D Mr Miller nasemaje hizo choyo na husda zilizowajaaa kooni nawawekaa kiporoooo najua mtapita hapa nawasubiri usiku .
Maswala ya kunisema sitaki.
Huo wivu wenu hauniyumbishi hasa wewe Mr Miller ndo unachochea sana
Nilivyokuwa single mbona hamkuja kunisaidia matusi niliyokuwa natukanwa kwamba natafuta soko hapa Jf .
Nimepata mtu wa kunishika mkono bado mnabwabwaja ?
Kwahiyo mnataka niwe nan kwa mfano?
Nyie wenyewe mnaongoza kwa kutoa ushaur wanawake tuolewe mnaumia nn pale tunapooelewa?
Mwanaume mwenzenu kupata vitu vizur mnaumia ndo muanze kuleta maneno ya husda?
Mnaongea maneno ya shombo as if hamna wapenzi ?
Kuna mtu amekatazwa kuopoa mwanamke ?
Opoa wa kwako jitangaze ili iwe fresh kuna mtu kakatazwaa.
Eti umepoteza mvuto mliambiwa mm nina shida ya mvuto ?
Nina mwanaume ambaye ni Mfalme wa moyo wangu ananipa mapenzi mpaka najiogopa.
Mnafurahia sana ningekuwa nachezewa na wanaume wakware ndo mnachokipenda sasa najua imewauma sana.
Hivi mm nikiolewa hasala kwa nan? Poooh nawaweka kiporo cha pilau

, ustoe povu wala uspanic, hatukuwa hata siriaz.