Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
wee cheka tuHahaha
Sasa kaka kipenzi, mziki unahusiana nini na kukula?!Aah
My lovely sista leo kuna majirani hapa waliweka mziki
Sjui walikuwa wana sherehe ya birthday ya msiba wa harusi ya mtoto wao!. Maana walikuwa wana nletea fujo hata sjutulia nile.
Eeeh bobSawa futa ushahidi mana wesha anza ha haaa
Mzee wa ulozi akimuacha mvuto utarudiTatizo kapoteza mvuto sasa
Eeeh huyooooo hahahaa
Yule muelewa sana ila hawa ndo wanamchanganya muhimu nikuwahi ajue nini kinaendaleaEeeh bob
Nisha ukwanyua japo asha haribu kwa ku quote
Lakin skuwa na maana mbaya
Hahaha.....kunywa maji ya kunywa
Kula kunahitaji utulivu Sakayo wanguSasa kaka kipenzi, mziki unahusiana nini na kukula?!
Masikio yasikilize na mdomo ukule chakula!!
Dharura tuu Manga!Juzi nilikuona vidole vikakakosa ushiriki leo nimejaribu upogo au dharula tu?
Kwa nini hampendi kukula?!Atakuwa hajala huyooo
Kwann?Hahaha
Usikunywe maji usiku!
Nafurahi tuu akiwee cheka tu
AaahYule muelewa sana ila hawa ndo wanamchanganya muhimu nikuwahi ajue nini kinaendalea
Atamuacha sasa nasikia anakitumbua cha khatariii ha ha haaa labda aongezee si kuacha ja ha haaaa.Mzee wa ulozi akimuacha mvuto utarudi
Kwa nini hutaki kukula mdogo wangu?! Nini shida?!Sikuli na sijakula!![]()
Huyo Miller ana shida zake tuu ndio maana haliKwa nini hampendi kukula?!