Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Darling brother, umekula lakiniKaribu my darling sister
Darling brother, umekula lakiniKaribu my darling sister
We endelea kuwangaHuku ni popooo
ndio, umekua kibibi ghafla sana....tutaacha kukuangalia ss hvSawa ulitaka niwe kisichana tu siku zote life is 2 short.
Umepotea sananaam dada
ndio tunamwambia hapaJama kamroga sio siri kapoteza mvuto kabsaaa natamani ajijue tu ile awe mpole siku hizi ha ha haaa
Kuna Sato balaa. Ila mapishi ya hawa watu hakyanani nakoma. Kuna posho, ebitoke, na hicho kinaitwa rice haaa, acha kabisa. Wali upande uji upande chumvi na kwingine mchele!Ok samaki wa victoria pale umewapata?
Nawapenda pia dadake... Mie mbona nipo Sana tuuUmeadimika sana
Watu wanakupenda na kukuhamu sana
Mmh!Darling brother, umekula lakini
HahahaHuku ni poa ni yako![]()
hujanitafuta ndio maana...Umepotea sana
Sio wamasiala kabisa alivyo nukusi katangaza fastaaa ili tujue kifwatacho ukichezea mali yake![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mshana mshenzi sana yule jamaa
ByeJaman muwe na usiku mwema naenda kumbebisha shemeji yenu
Nina hamu ya kuangalia maiti ndo midaa yetuuu hiii Mr yupo mochwariii.
Nasikia rahaaa tu anavyowageuza maiti yan naenjoy ndo nazid kupagawa na penzi lakeeeeeView attachment 729044
Sijazila, kesho mapumziko subiri niingie mitaani nitakupa mrejesho.Zile chapati zao zenye layer ya mayai ndo huwa zinanimalozaga. Nahisi nifanye hako ka biashara
Wanaziitaje et? Nimesahau jina lake
Asante jamaniUmekuja leo?
Karibu
Ushahidi gani waogopa weye?Acha na mm nilale sitaki kuitwa niwe mshahid hapa
Laleni unono woteee
Nchunie tu shem sitaki kujibiwaNitakujib kesho
HahahaMmh!
Sio kweli...hujanitafuta ndio maana...