Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Dah tumepambana pabaya sijui nna kimavi? mana angenikuta kule nilipoku a angekua anaelea tu.
Na hisi nae hana furaha natamani nimpe ila dah inauma sana ndo napataga na uvivu wa kuingia humu kabsaaa


