Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
Hahahandio kwani nimesema nimkula mm![]()
Huo utulivu veepe my dear!! Tabia ya kukula sa hizi sio nzuri kaka kipenzi!!Kula kunahitaji utulivu Sakayo wangu
Nilikuwa nimetoka kabsa nakeabda kukaa mbali na home.
Nakula hapa huku naicheki ile picha yetu tulo piga pamoja.
Utakunywa na wachawiKwann?
Haya wape hiiNgoja nkalale na mumu wangu mm, niwaache.
Muwe na usiku mwema bundi nyie![]()
JamaniHuyo Miller ana shida zake tuu ndio maana hali
Mi ni late eater my darling sis
JamaniNgoja nkalale na mumu wangu mm, niwaache.
Muwe na usiku mwema bundi nyie![]()
Demiss kaenda mochwari kwa mume wakeUtakunywa na wachawi

Sawa sistaHuo utulivu veepe my dear!! Tabia ya kukula sa hizi sio nzuri kaka kipenzi!!
Ile picha sio kwa cheko lile jamanii, nikiiangalia naishia kutabasamu tuu
Umechukia nini mdogo wangungoja nikalale mm![]()
HahahaDemiss kaenda mochwari kwa mume wake![]()
sijachukia nimehudhunikaUmechukia nini mdogo wangu

Nimelipenda saana sweet kakaSawa sista
Najua una nijali ndio una nishauri nile mapema.
Hahah
Lile lina itwa cheko la mshahara darling sister