JamiiForums Usiku wa manane
Ahsante kwa kuniamini
Na mimi huwa nakuamini, najua haya mambo ni kupokezana, ntafanya hadi nnapo weza na watakuja wengine they will do more, huu uzi ni endelevu. Huwa nakuita Nyerere wa uzi .

Huwa nawashukuru woote wanao pita hapa kuchangia, they are realy nice people.
Ntafutie jina na mimi

Bado nipo nipo kwanza
 
Back
Top Bottom